Breaking News

Wednesday, September 7, 2016

WANAWAKE WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU ELIMU YA UONGOZI NA UPIGAJI KURA

Mwanasheria Bi Saida Amour kutoka Kituo Cha Huduma  za
Sheria Zanzibar akiwasilisha mada katika  Mafunzo ya
 Wanawake kuhusu Elimu ya uongozi na upigaji kura
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
uliopo katikaOfisi hizo Kijangwani Posta Zanzibar
Read more ...

Tuesday, September 6, 2016

WANASHERIA WA KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR WAFANYA ZIARA KATIKA MAHAKAMA YA AFRIKA ILIYOPO JIJINI ARUSHA

Wanasheria kutoka Kituo Cha Huduma Za Sheria Zanzibar
wakiwakatika Picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama
ya Afrika ya Haki za Binadamu na Haki za Watu.


Read more ...

Friday, September 2, 2016

WAFANYAKAZI ZLSC KITENGO CHA MAHESABU NA ICT WAKIPATIWA MAFUNZO YA QUICKBOOK OFISINI KWAO ZANZIBAR

Wafanyakazi wa Kituo Cha Huduma Za Sheria Zanzibar Kitengo cha
mahesabu na ICT wakiwa katika Mafunzo ya namna ya kutumia
Mfumo wa kimahesabu wa Quickbook yaliyoendeshwa kwa siku nne kuanzia
tarehe 29/08 hadi tarehe 01/09/2016 Kituoni hapo Zanzibar   

Wafanyakazi wa Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar Kitengo
cha Mahesabu na ICT wakiendelea na mazoezi ya namna ya kutumia
Mfumo wa kimahesabu wa Quickbook yaliyofanyika
tarehe 29/08 hadi tarehe 01/09/2016 Kituoni hapo Zanzibar   
   

Read more ...
Designed By Published. Moonga Stephen