Breaking News

Wednesday, September 7, 2016

WANAWAKE WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU ELIMU YA UONGOZI NA UPIGAJI KURA

Mwanasheria Bi Saida Amour kutoka Kituo Cha Huduma  za
Sheria Zanzibar akiwasilisha mada katika  Mafunzo ya
 Wanawake kuhusu Elimu ya uongozi na upigaji kura
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano
uliopo katikaOfisi hizo Kijangwani Posta Zanzibar
No comments:

Post a Comment

Designed By Published. Moonga Stephen