Breaking News

Wednesday, October 12, 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPINGA ADHABU YA KIFO DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Huduma za  Sheria Zanzibar
  Bi Harusi Miraji Mpatani akifungua na kumkaribisha mgeni rasmi
na  wageni waalikwa waliohudhuri katika Maadhimisho ya siku ya
kupinga adhabu ya kifo duniani yaliyofanyika katika
 Ukumbi wa Haile Selasie Mjini
Zanzibar.
Mgeni rasmi akisoma hotuba yake katika Maadhimisho
 ya siku ya kupinga adhabu ya kifo 
duniani yaliyofanyika
 katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za
Sheria Zanzibar Profesa Chris Maina Peter akitoa mchango
 wake katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo

duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Kituo Cha Huduma za 
Sheria Zanzibar Bi Salma Saadat akitoa mchango wake 
 katika Maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo
duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Haile Selasie Mjini

Zanzibar


No comments:

Post a Comment

Designed By Published. Moonga Stephen